Back to Top

Tangazo la kwanza hapa

Ninaomba kiasi tajwa hapo juu toka kwenye bajeti kifungu J01S01 (Maintain independent ICT unit and train staff on ICT systems by June 2024) kipengele cha 22001110 (Computer Software) ili kitumike kununulia Modules,Extension na Templaes zitazotumika k

Tangazo la Pili hapa

Tangazo la tatu hapa

Pata Ankara Yako

➡️ Piga *152*00#

➡️ Chagua namba 6; Maji

➡️ Chagua namba 1; Huduma za maji za pamoja

➡️ Chagua huduma unayotaka

➡️ Ingiza namba ya Account; (A422.... au B422...)

SOUWASA Huduma bora kwa wote

Lipa Ankara Yako

Namba Zetu za Bure

➡️ 0800 110010

➡️ 0677 091360

Mitandao Yetu Ya Kijamii

➡️ Facebook

➡️ Instagram

➡️ Youtube

➡️ Twitter

Maunganisho Mapya

➡️ Mteja  kufika katika ofisi za SOUWASA akiwa na passport size mbili pamoja kopi ya hati ya kiwanja,nyumba au kopi ya leseni ya makazi au office.

➡️ Au kufika na picha(Passport size) mbili pamoja na barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa au mtendaji iwapo hana hati au leseni ya makazi.

➡️ Ujazaji wa fomu ambayo itahitaji majina matatu ya mteja,namba ya simu pamoja na mtaa ambao eneo lake analotokea mteja.

➡️ Baada ya ukamilishaji wa fomu mteja ataenda kupimiwa eneo lake ndani ya siku saba toka alipo wasiliasha maombi ili kupata gharama halisi.

➡️ Mteja atapatiwa gharama za maunganisho kupitia SMS pamoja na kumbukumbu namba ya malipo.

➡️ Maunganisho ya maji kufanyika ndani ya siku saba baada ya mteja kufanya malipo husika.

➡️ Mteja kukabidhiwa maunganisho baada ya kukamilika.

Taratibu za Kurudisha Maji

➡️ Mteja kulipa deni lote analodaiwa kupitia kumbukumbu namba anazotumiwa ambazo hazibadiliki au kulipa sehemu ya deni mara baada ya makubaliano maalum na ofisi.

➡️ Mteja kufanya malipo ya gharama ya urejeshaji wa huduma(Reconnection Fee) kupitia kumbukumbu namba maalaum kwaajili ya malipo hayo.

➡️ Mteja kusubiri kurejeshewa huduma baada ya kujaziwa fomu maalum ya urejeshaji wa huduma inayoonesha kukamilika kwa malipo husika.

➡️ Huduma itarejeshwa ndani ya masaa 24 ya siku za kazi toka mteja alipofanya malipo.

Bei za Maji 2023/24

Taarifa za bei za maji zikae hapa